Wednesday, June 12, 2013

PICHA:MWANAMKE WA KIZUNGU AMBAYE NI KONDA WA DALADALA




Now days kwa baadhi ya miji mikubwa hapa
 kwetu tanzania imeanza kuzoeleka kumkuta
 mwanamke akiwa amesimama kwenye mlango wa daladala kama konda
daladala..haishangazi.....lakini kumkuta 
mwanamke wa kizungu,tena mzungu pure kuwa 
konda wa daladala bila shaka ni ngumu kuamini 
kidogo sababu tunaamini watu weupe hususani kutoka mataifa ya ulaya ni watu 
waliobarikiwa kuwa na uwezo kimaisha
so inakuwaje kwa mwanamke wa kizungu kuwa
 konda wa daladala tena ndani ya Africa?picha
 hapo juu ni picha iliyopigwa maeneo ya kileleshwa 
nchini kenya ikionesha  mdada wa kizungu  akiwa 
 ndani ya daladala aka matatuu na amevaa uniform 
wanazovaa makonda  yawezakuwa ni kweli ama 
ni just swagg tu maana wazungu hawawezekani kwa vituko ...

No comments:

Post a Comment